Monday, 12 March 2018



Sunday, 19 June 2016

 Kwa utaratibu wanafunzi walitakiwa kutoka chuoni hapo siku ya juma moss lakini wakawa hawataki kutokana kutokana na madai yao ya kutaka kuwepo kwa kizuizi kinachosababisha magari kupita kwa kasi iliyopelekea mwanachuo mwenzao kugongwa na gari ya polisi adi kufa bila ya msaada
Wanafunzi wakiwa kwenye maeneo ayo ya chuo cha COEECI nchini Ivory Coast siku ya leo juni 19
Kijana ambae alijeruiwa na ajali iyo ambae kwa sasa ni mlemavu aliyejulikana kwa jina la Roland Bonaventure amekuwa akilalamikakutokana na hali aliyokuwa nayo kwani tayari alikuwa anamalizia shahada ya uchumi na menejimenti kitu ambacho anasema uwenda akashindwa kuendelea
 Kamanda wamkuu wa pilisi taifa bwanaAristide akiongea kwenye chuo cha Felix Houphouet Boigny cocncod wa Abdjan mashariki alipotakiwa kueleza kuhusu mwanafunzi kugongwa na gari ya polisi ndani ya chuo alisema
 
Sisi tumesha waambia ayo maombi yao tutayashughulikia kwaiyo wao warudi majumbani kwao lakini inachoonekana ni kuwa wanaajenda yao na ukizingatia siku hali ya utulivu aiko sawa kutokana na kujitokeza kwa viashiria vya ugaidi alimaliza

Monday, 25 April 2016

Habari iliyopo kwa sasa ni kuhusu kampuni inayozalisha saruji ya Twiga kutokana bidhaa zake kupendwa sana kutokana na ukongwe wake na uzoefu wa kutoa huduma ya saruji ambayo inafaa kutumika sehemu yoyote na kwa kipindi chochote yani Joto kali, mvua kubwa na sehemu zenye chem chem kubwa
kwa sasa imeonekana saruji ya Twiga imepata mshindani ambae ni Dangote kilichopo hapa mkoani Mtwara Nchini Tanzania
Baada ya kuona kuwa kiwanda cha Dangote au saruji ya dangote kuwa mshindani wa kutosha uwenda Twiga wakalazimika kupunguza bei

Tetesi tulizo zipata kwa baadhi ya wasambazaji wa saruji ya Twiga maeneo ya Tegeta nyuki sinasema kuwa kiwanda icho kina mpango wa kushusha bei za saruji kwa mfuko wa ujazo wa kilo 50 ambao awali ulikuwa ukiuzwa kwa bei ya jumla ni shilingi elfu 12000 na kufanya reja reja wauze shilingi elfu 13500 na kwa sasa utakuwa ukiuuzwa kwa bei ya shilingi elfu 8700 kwa wanunuaji wadogo na uwenda reja reja utauzwa kati ya shilingi elfu 9000 adi 9500 kwa maeneo mbali mbali ya jijini dar

Kwa hatua iyo uwenda hata kiwanda cha dangote nacho kitashusha bei zaidi kwa lengo la kuwasaidia wananchi zaidi

Habari hii bado aijathibitika ni tetesi tu

Saturday, 19 March 2016

Soma habari makini kila baada ya dakika 45
JACKSON MAKINI (PREZZO)
Kitu cha kuonyesha kama amemjibu mtu kuhusu afya yake msanii maarufu Afrika Mashariki Prezzo aliamua kwenda kufanya vipimo vya HIV kwenye Hospital moja maarufu Nchini Kenya na kupata majibu ambae kwa wale waliokuwa wafikiria ndivyo sivyo wamepata majibu yake
 HIV negative 
Iyo ni post aliyo ipost msanii uyo mwenye mashabiki wengi na anetoa mziki kama burudani na sio kazi kama inavyotafsiriwa na wengi


Tuesday, 15 March 2016

Karrueche akiwa na Chris Brown enzi za mapenzi yao
 Kendall Jenner ambae ameonekana kuvutiwa na penzi la Brown siku za ivi karibuni
 Ni muda mrefu sana Chris Brown amekuwa akisifika kwa kupenda totozi wazuri na hata pale asipopenda yeye imekuwa ni kawaida kwa warembo nao kumfuata wakihiitaji kuwa karibu kiurafiki
 Mwanamke Uyu Kendall siku chache tu alimchana aliyekawa mpenzi wa Justin Beiber kuwa yeye yuko singo na kumshangaa Selena binti mdogo alafu tayari analekodi ya kuishi kinyuma na mwanaume
 Siku chache zilizopita Karrueche amempa onyo kali mwana mitindo uyo Kendall Jenner Pichani kuwa akae mbali na Chris Brown kwani si mwanaume mzuri kwa wanawake ni ni msaliti 
Karrueche akafika mbali kabisa nha kumfaninisha Brown ni swa na mbwa kwani yeye alivumilia sana kipindi cha uhusiano wake na Brown lakini ni mtu mbaya sana kwa wanawake
akuishia apo na kusema yeye alimfanya Chris kama dhahabu kwenye maisha yake na wala akutazama kuwa Chris hana utajiri au masikini lakini mwisho wake alikuja kubaini kuwa Chris ni zaidi ya Cheater
karrueche alimaliza kwa kusema kuwa namuulumia Kendall kwani ni sawa na dada yangu alafu kuona anaenda kuweka uhai wake rehani sio vizuri

Sunday, 13 March 2016


Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi ambaye pia ni Katibu Mkuu TAMISEMI, Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe akitangaza Majina ya Wakuu wapya wa Mikoa kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam

Aliyekawa mkuu wa wilaya ya Kinondoni jijini Dar Es salaam Mwenye jima la kwanza kabisa amezua gumzo ni siku chache baada ya kutangaza ofa kwa walimu na leo ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa 

Wednesday, 17 February 2016

 Habari picha ni masanduku ya kupigiwa kura yakishushwa na tume ya uchaguzi ya nchini umo

 Tangazo la maelekezo ya upigaji kura na baada ya kupiga kura
 Wananchi wakiwa wanasubiria kwa hamu kutimiza haki yao ya msingi
 Tayari hatua ya kuingia kwenye chumba cha kupigia kura maeneo ya mji wa Kampala

 Watu wengi wamejitokeza na kama uonavyo pichani
Picha zote kwa hisani ya mtandao

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS