Karrueche akiwa na Chris Brown enzi za mapenzi yao
Kendall Jenner ambae ameonekana kuvutiwa na penzi la Brown siku za ivi karibuni
Ni muda mrefu sana Chris Brown amekuwa akisifika kwa kupenda totozi wazuri na hata pale asipopenda yeye imekuwa ni kawaida kwa warembo nao kumfuata wakihiitaji kuwa karibu kiurafiki
Mwanamke Uyu Kendall siku chache tu alimchana aliyekawa mpenzi wa Justin Beiber kuwa yeye yuko singo na kumshangaa Selena binti mdogo alafu tayari analekodi ya kuishi kinyuma na mwanaume
Siku chache zilizopita Karrueche amempa onyo kali mwana mitindo uyo Kendall Jenner Pichani kuwa akae mbali na Chris Brown kwani si mwanaume mzuri kwa wanawake ni ni msaliti
Karrueche akafika mbali kabisa nha kumfaninisha Brown ni swa na mbwa kwani yeye alivumilia sana kipindi cha uhusiano wake na Brown lakini ni mtu mbaya sana kwa wanawake
akuishia apo na kusema yeye alimfanya Chris kama dhahabu kwenye maisha yake na wala akutazama kuwa Chris hana utajiri au masikini lakini mwisho wake alikuja kubaini kuwa Chris ni zaidi ya Cheater
karrueche alimaliza kwa kusema kuwa namuulumia Kendall kwani ni sawa na dada yangu alafu kuona anaenda kuweka uhai wake rehani sio vizuri
0 comments:
Post a Comment