Monday, 25 April 2016

Habari iliyopo kwa sasa ni kuhusu kampuni inayozalisha saruji ya Twiga kutokana bidhaa zake kupendwa sana kutokana na ukongwe wake na uzoefu wa kutoa huduma ya saruji ambayo inafaa kutumika sehemu yoyote na kwa kipindi chochote yani Joto kali, mvua kubwa na sehemu zenye chem chem kubwa
kwa sasa imeonekana saruji ya Twiga imepata mshindani ambae ni Dangote kilichopo hapa mkoani Mtwara Nchini Tanzania
Baada ya kuona kuwa kiwanda cha Dangote au saruji ya dangote kuwa mshindani wa kutosha uwenda Twiga wakalazimika kupunguza bei

Tetesi tulizo zipata kwa baadhi ya wasambazaji wa saruji ya Twiga maeneo ya Tegeta nyuki sinasema kuwa kiwanda icho kina mpango wa kushusha bei za saruji kwa mfuko wa ujazo wa kilo 50 ambao awali ulikuwa ukiuzwa kwa bei ya jumla ni shilingi elfu 12000 na kufanya reja reja wauze shilingi elfu 13500 na kwa sasa utakuwa ukiuuzwa kwa bei ya shilingi elfu 8700 kwa wanunuaji wadogo na uwenda reja reja utauzwa kati ya shilingi elfu 9000 adi 9500 kwa maeneo mbali mbali ya jijini dar

Kwa hatua iyo uwenda hata kiwanda cha dangote nacho kitashusha bei zaidi kwa lengo la kuwasaidia wananchi zaidi

Habari hii bado aijathibitika ni tetesi tu

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS