Sunday, 19 June 2016

 Kwa utaratibu wanafunzi walitakiwa kutoka chuoni hapo siku ya juma moss lakini wakawa hawataki kutokana kutokana na madai yao ya kutaka kuwepo kwa kizuizi kinachosababisha magari kupita kwa kasi iliyopelekea mwanachuo mwenzao kugongwa na gari ya polisi adi kufa bila ya msaada
Wanafunzi wakiwa kwenye maeneo ayo ya chuo cha COEECI nchini Ivory Coast siku ya leo juni 19
Kijana ambae alijeruiwa na ajali iyo ambae kwa sasa ni mlemavu aliyejulikana kwa jina la Roland Bonaventure amekuwa akilalamikakutokana na hali aliyokuwa nayo kwani tayari alikuwa anamalizia shahada ya uchumi na menejimenti kitu ambacho anasema uwenda akashindwa kuendelea
 Kamanda wamkuu wa pilisi taifa bwanaAristide akiongea kwenye chuo cha Felix Houphouet Boigny cocncod wa Abdjan mashariki alipotakiwa kueleza kuhusu mwanafunzi kugongwa na gari ya polisi ndani ya chuo alisema
 
Sisi tumesha waambia ayo maombi yao tutayashughulikia kwaiyo wao warudi majumbani kwao lakini inachoonekana ni kuwa wanaajenda yao na ukizingatia siku hali ya utulivu aiko sawa kutokana na kujitokeza kwa viashiria vya ugaidi alimaliza

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS