Saturday, 8 August 2015

Mkutano wa Chadema
 Wananchi walijitahidi kujitokeza kwa wingi sana kiasi cha watu kupanda juu ya daraja kwa lengo la kushuhudia kinachoendelea mkutanoni hapo
Umati mkubwa wa Wakazi wa Kimara na viunga vyake
                           Hapa ni stendi ya daradara Kimara mwisho jijini Dar es salaam
Umati wa watu ukishuhudia mkutano wa Chadema
 Propaganda kubwa ya hapa ilikuwa ni kuwa kati ya watu waliosababisha Wasukuma wengi kujiunga na Chadema ni pale tu Magufuli alipopewa Uwaziri wa Ujenzi
Katibu mwenezi Jimbo la Ubungo Kulia ndugu Pafekt
                           Wakazi wa Kimara wakisikiliza kwa umakini mkutano wa Chadema
Wakazi wa kimara wakivuka barabara ovyo ovyo

Mkutano chadema Kimara Mwisho
baada ya kupewa Uwaziri wa Ujenzi Mh John P. Magufuri wasukuma wengi waliamua kuhama CCM na kuamia Chadema kwaiyo sasa hivi alipopitishwa kwenye Kura za maoni kuwa mgombea wa uraisi kwa Tiketi ya CCM ndio ameongeza kasi ya Wasukuma wengi kukihama chama icho

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS