|
Raisi Mugabe na Mujuru waote Zanu PF |
Kamati ya maadili na nidhamu jana ilitarajiwa kusikiliza kesi inayohusu kusimamishwa kwa viongozi kadhaa kwenye chama cha Zanu PF Zimbabwe akiwemo na waziri wa zamani wa Mambo ya Rais Pacha Mutasa, aliyekuwa mwenyekiti wa Zanu PF Mashonaland Magharibi Temba Mliswa, aliyekuwa mwenyekiti Mashonaland East Ray Kaukonde, na waziri wa zamani wa Masvingo Mkoa wa Mambo Kudakwashe Bhasikiti kutokana kusimamishwa kwa uwanachama wao
0 comments:
Post a Comment