Thursday, 16 July 2015

Kituo cha mabasi Mbezi mwisho (mbezi kimara) nje kidogo ya jiji la Dar es salaam
Ajali iyo ilitokea jioni ya juzi kushinda jana ambapo akuna aliyejeruhiwa wala kufariki kwani gari ilikuwa kwenye mwendo wa kawaida tu kwani ilikuwa ikitokea Dar es salaam na hapa ni nje kidogo ya kituo cha mabasi ya Mbezi mwisho

Gali iyo mali ya China Ship yenye ofisi zake shekilango jijini Dar, baadhi ya mashuhuda walisema kuwa dereva wa loli iyo alikuwa akiendesha kwa mwendo wa taratibu sana akiwa anaendelea na safari ilitokea gari ndogo aina ya Rav 4 ambayo ilikuwa inataka kukona na kuingia njia ya vumbi wakati uo loli lingine likiwa linatoka Morogoro kuja Dar likiwa kwenye mwendo mkali ambao ulimfanya dereva ashindwe kufunga breki ndipo alipoona aelekeze upande wa lile loli linalotoka Dar.

Dereva wa loli mali ya China Ship alipojaribu kumkwepa ndipo alipoingia mtaloni

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS