Thursday, 25 June 2015

Hapa akiwa anaelekea kwenye nyumba ya mchungaji Gidion kimara jijini Dar
Amefika kwa mchungaji Gidion mikononi akiwa ameshika majani mabichi ambayo nae amekuwa akiyatafuna
Akiyasugulia yale majani kwenye dirisha moja wapo la nyumba iyo ya mchungaji
Mmoja wa vijana waendesha boda boda akiwa anamuhoji amefuta nini pale na anataka nini pale lakini akufanikiwa kupata majibu sahihi  na hapa akiwa dirisha la upande mwingine
Mama uyo akiwa anatafuna majani uku akiwa aongei chochote kila anapoulizwa swali ndipo wananchi walipoaanza kutaka kuchukua hataua ya kumpiga
Kijana akiwa anamuhoji kwenye mfuko wake ule yale majanio aliyobeba ni ya nini lakini akuna alichojibu kabisa
Akiendelea kuonyesha vilivyopo kwenye mfuko huo, ndani kulikuwa na majani mabichi. vitunguu vilivyokatwa katwa pamoja na mkaa na vitu vingine ambavyo avikujulikana kabisa
Mfuko ambao alikuwa nao wenye vitu vinavyosadikiwa kuwa vinatumiwa na washirikina
Baada ya mabishano ya hapa na pale wananchi ao mtu mmoja alisema kuwa uyu mtu ni mlevi apo alipo uwenda ni njaa inayomfanya atafune majani kwani mimi nikiwa salooni moja pale barabarani nilimuopna akipita akiwa anayumba sana na mfuko wake na chapati mkononi anakula lakini ilikuwa kila inapodondoka ile chapati uwa anaokota na kuila kwaiyo ni bora aachwe tu aondoke zake uyo ni mlevi tu wa pombe za kienyeji
Hapo ndipo usalama wa mama uyu amabae adi tunaenda mitamboni mama uyu alikuwa ameondoka salama bila kujeruhiwa na mtu yoyote na mfuko wake aliuacha pale pale

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS