Sunday, 21 June 2015

Kila mtu amekuwa na chaguo lake la kupenda vitu, leo tunaangaza watu wengi wenye mafanikio
pamoja na kununua majumba, magari, ndege kumiliki biadhaa tofauti za kuwaingizia kipato lakini
imekuwa kwao ni lazima kuwa na bajeti ya kunua Piki Piki
 Kwa mtu kama Birdman bosi wa Cash Money na kijana wake Lil Wayne wameonekana kuvutiwa na usafiri huu kuliko hata usafiri wa gari hasa wanapokuwa kwenye sehemu ya ufukweni
 Mastaa wa Marekani kwa kutumia usafiri naweza kusema wanaweza kushika nafasi ya kwanza kutokana na wao kupendelea sana, na aina kuu ya Piki Piki wanazopendelea zaidi ni izi pichani kama uonavyo
 Piki Piki ambayo ilishika kasi sana kupendwa na ilikuwa ikiongoza kusabisha vifo kwa watu wengi maarufu ilikuwa ni kawasaki ambayo inasadikiwa ilitolewa ikiwa na spidi mita kubwa sana
 Kwa sasa mastaa ao wamekuwa wakitumia piki piki amaarufu ambazo pia hata kwenye mashindano ya mbio za piki piki uwa zinatumika yani hapa sio kampuni nyingine bali ni Suzuki, BMW, Lambogyn

Uendeshaji wa piki piki unahitaji ujuzi wa hali ya juu

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS