Saturday, 20 June 2015

Mfanya biashara ya Chipsi mchana kimara mwisho
Mwezi Ranadhani ni mwezi mtukufu Nchini Tanzania na Duniani kote, kwa kipindi iki uwa biashara zinasimama hasa zile zinazohusu makulaji yani (CHAKULA) kama vile chipsi na migahawa uwa zinafungwa

Lakini wapo ambao ni wanafanya tu kwa kuikuka taratibu za mwezi huu mtukufu kwani sio waislamu pekee kwani hata wale wasio waislamu yani Wakristo na Madhehebu mengine  uwa wanakosa uhuru wakati wa kula chakula icho endapo tu watakuwa wamekinunua maeo ayo,

Kwa siku chache zilizopita tulizoea kuona mtu ananunua chipsi na kukaa apo apo anakula lakini kwa msimu imekuwa tofauti kabisa, na imepelekea baadhi yao wanaofanya biashara izo kwa kipindi iki wanapata asala kwani chakula kingi uwa kinalala tu kwa kukosa wateja

Mmoja wa wafanya biashara iyo pichani amenukuliwa akilalamika kuwa biashara ngumu kwani wateja wengi wamefunga nakufanya ashinde kufanya biashara na kusem akuwa kwa sasa hali ni mbaya ila tatizo ni hapa kwenye maeneo ya watu unalipa kodi vile vile wao awaangalii kuwa huu ni mfungo wa ramadhani huwa biashara inasimama

Maelezo ayo yalikuja alipoulizwa nak ijana mmoja ambae alikuwa maeneo jirani na yuko kwenye mfungo wa ramadhani , swali lilikuwa kwanini unafanya biashara kipindi hiki cha mwezi mtukufu ndipo maelezo ya kuhusu kodi yalipokuja

Yeye mwenyewe anasema kuwa kabla ya mfungo alikuwa anauza chipsi hata ndoo 4 za viazi anamaliza lakini  kwa sasa ndoo moja aimalizi inalala kwaiyo inamlazimu kesho yake kupunguza kiwango cha viazi

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS