![]() |
barabaa inatengenisha kati ya magari ya mwendo kasi na magari ya mwendo wa kawaida |
Kijana aliyetambulika kwa jina la Mpare amegongwa na Loli alipokuwa akijaribu kuvuka barabara
kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine akiwa anavuka ndio kwenye tuta ilo kati akayumba kwa kurudi nyuma ndipo Loli lilippo mpitia ![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3zElGbx7rOkv0_GYwMwFF2cU1pJZwKkvmT0YR02b9CrsM7tfO965CGSgVkXBFxmQKh0LPQl-A9sYHzV2p3haGj1epWorjluzGt24-eBLkZOpbCw7lp6pGCSfUAyRNiXBom50vszYE7cWi/s640/ajali+kimara+mwisho+%25281%2529.jpg)
Hapo ndipo kwenye tuta ambalo alishindwa kupanda na kuyumba na ndipo alipopitiwa na Loli ilo ambalo lilikuwa kwenye mwendo kasi sana kiasi cha kupelekea kifo cha kijana uyu aliyefahamika kwa jina la Mpare ambae shughuli zake ilikuwa ni kubeba mizigo stendi![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3zElGbx7rOkv0_GYwMwFF2cU1pJZwKkvmT0YR02b9CrsM7tfO965CGSgVkXBFxmQKh0LPQl-A9sYHzV2p3haGj1epWorjluzGt24-eBLkZOpbCw7lp6pGCSfUAyRNiXBom50vszYE7cWi/s640/ajali+kimara+mwisho+%25281%2529.jpg)
![]() |
Askali wa usalama barabarani akielekeza jambo kwa wananchi |
![]() |
Wananchi wakitahamaki kwa tukio lilotokea hapa kimara mwisho |
Hapa ni kimara mwisho na uonavyo picha ni daraja lilojengwa na kampuni ya STRABAG kwa ajili ya mradi wa mabasi ya mwendo kasi unaosimamiwa na DART hapa Dar es salaam
Tangu barabara hii ijengwe kumetokea ajali nyingi za maroli ya mafuta kupinduka kutokana na kona za ghafla pia magari yanapita kwa mwendo kasi sana
Na sasa ni mwezi moja tu tangu mbeba mizigo kugongwa na basi na Saibaba na kupoteza mguu wake mmoja hadi sasa ni vilio tu ndugu na vijana wanaomfahamu kijana mwenzao ambae hapa kimara alikuwa maarufu kutokana na ufanyaji wake wa kazi za kubeba mizigo
0 comments:
Post a Comment