Thursday, 18 June 2015

The Game akiwa na Drake
 Unapomzungumzia rapa wa zamani wa G_UNIT aliyewai kutesa na ngoma kama vile this is are we do aliyomshirikisha Rapa 50 Cent yani hapa namzungumzia The Game utakuwa unamkumbuka vizuri
pia rapa uyu ameshawai kufanya kazi na mkali wa young Money mwenyewe yani Lil Wayne wimbo ulienda kwa jina la One Blood pia ulifanya poa kwani Wayne aliitendea haki sana iyo kazi
Picha the game na timu mzima ya young money
 Leo kwa mala nyingine tena The Game amekuja tena kufanya kazi na rapa Drake mkali wa masauti na rapa anaependwa sana kwa sasa Young Money kichupa icho kwa sasa ndio kinatengenezewa video izi ni picha za utengenezaji wa video iyo ambayo adi sasa inasubiriwa sana tena kwa hamu sana
Video iyo adi sasa imethibitishwa kuwa iko tayari kwani kauli iyo imetolewa na boss wao wa Cash Money
CMB na si mwingine ni Bird Man, amenukuliwa akisema kuwa video imekamilika kwa asilimia 100 adi sasa

Facebook/millanzy.blogspor.com
Twitter/millanzyBlog
Pinteres/millanzyBlog
JIUNGE NASI SASA

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS