Friday, 5 June 2015

Unapo fikia maisha ya kuishi maisha ya ghali ya juu kiasi cha kumiliki jengo la kifahali kama hili ni lazima kuna vitu vya kuzingatia na lazima uzifuate na sio kuwa na maisha haya tu bali hata yale yako ya kila siku ni lazima uishi kulingana na masiha yako yalivyo
Kama uonavyo kwenye picha izi ni kuwa kuna jengo zuri sana lakini jengo zuri kama ilo ni lazima liwe na vitu kama uonavyo izi picha

 Fukwe mzuri ya kuogelea au kupumuzika baada ya pilika pilika za kutwa mzima unahitaji kupumzika sehemu muhimu kama uonavyo mtu wangu wa ukweli

 Nazani ndugu msomaji unaona mazingira ni tulivu pia hata vyombo vya usafiri ni vya uhakika na vyenye adhi ya juu kabisa,
 Suti safi ambayo inakuwa kama umemechisha na mazingira vile kuanzia THAI koti na shati la ndani unakuwa umependeza zaidi

Mazingira ya Ndani pia ni mazuri sana, leo tumehsea pamoja na msanii kanye West ambae alitembelea sehemu izi maeneo ya Los Angeles Marekani, na Ikumbukwe kuwa Kanye ni mwana mitindo pia kwaiyo tumeshea nae vizuri kujua jinsi ya kutoka kulingana na mazingira

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS