Friday, 5 June 2015

 Nchi za Afrika kumekuwa na biashara ya uuzaji wa chuma chakavu, sasa kwa hali hii ya chi za wenzetu kama vile China Japana Marekani kuwa na Idadi kubwa ya uzalishaji wa magari pia kuwa na idadi kubwa ya magari mabovu
 Wewe binafsi unalizungumziaje hili la kuwa na magari mengi mabovu kama uonavyo pichani ni baadhi tu kati ya yale ambayo tumejaribu kuyapitia kwenye mitandao mbali mbali inayohusu uchafu wa namna hii
endelea kuangalia picha zaidi apo chini















ayo yote ni magri yakiwa yameharibika na hayana thamani tena kwa sasa yani ni uchafu tu

ahahahahah ndugu zangu wabongo wangeshambulia machuma ayo kwa ajili ya kuuza srepa au chuma chakavu

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS