Wednesday, 3 June 2015

Nyumba hii inavyumba vya kulala vi 5 na bafu 6
Vyumba vi 5 pamoja na bafu 6 zilitengenezwa kwa kiasi cha dola milioni 8 za kimarekani
Nyumba hii adi kwisha iligharimu jumla ya dola milioni
7,495,000.
7,495,000.
20 za kimarekani
Garage ya kuifazi magari ni ya vioo
Bwawa la kuogelea la kisasa lilojengwa kwa vioo pia 
Magari ya kisasa na ya bei ghari kama vile Lambogin, bugat, ferrar, Aston martins zote zipo kwenye mjengo huu
Gari aina ya Pijot ikiwa imepaki pembeni ya mjengo huu

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS