Kama uonavyo picha mwanamke akiwa anahaha kujaribu kuokoa chochote mala tu baada ya upepo kutulia
Wakazi engi wakiwa hawaamini kilichotokea mjini kwao Tornado kaskazini mwa Texas nchini marekani
Akina mama mbali mbali awakuamni kuweza kuona hata baadhi y a watoto wao kwani kimbuka iki kimeleta maafa na kusababisha vifo vya watu wasio pungua watano (5)
Mtoto akiwa ndani anajaribu kuangalia baadhi ya vitu v yake pendwa
Wananchi wa Tornado kaskazini mwa Texsas wakiwa kwenye harakati za kupandisha bendera ya Amerika kwa lengo la kuonyesha ishara kuwa wao ni wamarekani na wanahitaji msaada
Upepo huu ueharibu vitu vingi sana, majumba ,magari na vinginevyo adi kufikia muda huu inaripotiwa watu wa tano pekee ndio waliofariki dunia
jiunge nasi pia kwenye facebook page yetu ya millanzy blog

Usafi wa barabara ukiendelea kwa sehemu zilizoathiliwa na upepo huo
Akina mama mbali mbali awakuamni kuweza kuona hata baadhi y a watoto wao kwani kimbuka iki kimeleta maafa na kusababisha vifo vya watu wasio pungua watano (5)
Mtoto akiwa ndani anajaribu kuangalia baadhi ya vitu v yake pendwa
Wananchi wa Tornado kaskazini mwa Texsas wakiwa kwenye harakati za kupandisha bendera ya Amerika kwa lengo la kuonyesha ishara kuwa wao ni wamarekani na wanahitaji msaada
Upepo huu ueharibu vitu vingi sana, majumba ,magari na vinginevyo adi kufikia muda huu inaripotiwa watu wa tano pekee ndio waliofariki dunia
jiunge nasi pia kwenye facebook page yetu ya millanzy blog
0 comments:
Post a Comment