Tuesday, 19 May 2015

 Ronda Rousey akiwa mazoezini na masta wake nae yuko makini kufuata kile anachosema masta
 Ronda Rousey baada ya mazoezi makali ya zaidi ya saa moja na nusu bila kupmzika
 Hapa Ronda akiwa na mpinzani wake walipoenda kupima uzito tayari kwa mapambano
 Hapa Ronda akiwa na Mwana mielekea machachari Dwayn Jonson kwenye uwanja wa WWE

 apa ni kutoa kichapo tu kwa kila hatakegusa mziki huu
 Akiwa tayari kumchapa vizuri tu mpinzani wake
 Alifanikiwa kushinda na kuchukua mkanda
 Pambano ilikuwa ni timu ya watu waiwili wawili yani Ronda na Dwayn Triple H na bidada mungine ambapo timu ya akina Ronda ilishinda
 Ronda amekuwa akishinda mikanda kadhaa kwenye mapambano yake na kwa hali iyo imepelekea kupata wazamini wakubwa kama vile reebok na wengine
 Ronda kushoto
 Ronda akimtandika vizuri mwana dada uyu kwenye mapigano ya mielekea maarufu kama Diva WWE
Ronda Rousey amefikia kusema kwa sasa kuwa akuna mwanamke mwenye rekodi kama yake kwaiyo yeye anajifananisha na mpiganaji wa kiume Floyd Mayweather Jr kwa kuto poteza hata pambano moja tangu aanze kushiriki mapambano makubwa

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS