Monday, 18 May 2015

Mwanamuziki Michael Joseph alipokuwa kwenye maandalizi ya utengenezaji wa video yake mpya kabisa ya wimbo ambao umeibeba albam mzima ujulikanao kwa jina la kinga yangu ambao unafanya vizuri Tanzania na Afrika ya Mashariki kwa ujumla yani ni Kinga yangu Pr- M
Hapa Mwanamuziki Michael Joseph akiwa Studio akirekodi baadhi ya nyimbo zake za injili kwa maandalizi ya kutoa albam
  
Dada Agnes Joseph akimsapot kaka yake Michael Joseph
Picha ni sehemu ya utengenezaji wa video iyo ya injili akisisitiza kuwa binadamu anatakiwa kuamini KINGA yake ni Yesu na sio kitu kingine
 
 Picha za utengenezaji wa video ya KINGA YANGU
Picha za utengenezaji wa Video
Picha ni utengenezaji wa video ya kinga yangu ni video ambayo itakuwa mzuri sana kwa ina mandhali mzuri hasa ya wale watu wasio mwamini YESU na atimaye kumwamini binadamu

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS