Saturday, 23 May 2015

 kuhusu ukarabati wa barabara za Kimara Matangini jinsi gani tulivyoweza kusimamia serikali ya mtaa na kudhibiti ufisadi uliokithiri katika serikali yetu ya Kimara matangini mpaka ikapatikana hela kwaajili ya
ukarabati wa barabara pia Kwa miaka 20 aliyotawala Mzee Mtambo na chama chake cha CCM hakuwahi kufanya jambo lolote la maendeleo Kwa kipindi chore lakini tulivyoingia sisi tumeweza kusimamia serikali mpaka maji sasa yanatoka maeneo mbalimbali mfano shule ya Mavurunza, midland shule na maeneo mbalimbali
Penina Nkya
 Penina Nkya Mjumbe wa ofisi ya Serikali ya Mtaa Kimara Matangini kwa tiketi ya Chadema


Pia ukarabati wa barabara kwahiyo wananchi wanabidi wajue Chadema ni watetezi wa wananchi pia wapo kwaajili ya maslai ya Umma tunawahidi wananchi Kimara Matangini wangojee mambo mazuri kutoka kwetu

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS