Hallo Samahani Kwa Kutokua Na show This Weekend Ni Kwa Sababu Zilizoko Nje Ya Uwezo Wangu Kwa Hivyo Basi Watu Wangu Wa U.S Washington DC You Will See Me LIVE on SATURDAY JUNE 6 ...For More Infos Follow@dmkglobal @pligate #KingKiba
unaweza ku LIKE page alisi ya AliKiba yenye jina https://www.facebook.com/pages/Alikiba-blood-fans/788824984528690?fref=nf
Atimae mwanamuziki anaependwa wakiume ameibuka pia AliKiba mkali wa Mwana daresalaam
ametoa shukrani zake za zati kwa wote wale ambao wamempigia kura na wale mashabiki ambao walikuwa wanamchango kwa namna nyingine kufanikisha kiba anashinda
Tuzo aliyoshinda kwenye tuzo za watu mwaka 2015
0 comments:
Post a Comment