Monday, 17 November 2014











Michael Joseph ameleta mapinduzi kwenye tasnia hii ya muziki wa Injili na kujizolea mashabiki kwa muda mfupi sana akiongea kwa mala nyingine kwenye maojiano Prais Pawer Radio alisema najisia faraja sana kuona mashabiki wangu wanafurahia kazi zangu, akuishia apo na kusema kwa sasa pia bado sina uongozi wa kusimamia kazi zangu kwaiyo nahitaji uongozi kuanzia sasa, wimbo huu adi sasa umeshaombwa na mashabiki kwa kipindi cha wiki moja ikiwa ikichezwa Radioni zaidi ya mala 8 kwa siku



Wasiliana kwa email rashidiajibu5sta@gmail.com

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS