Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambaye pia ni mbunge
wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi Bernald Membe pamoja na Katibu wa
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
wakiwasili katika kijiji cha Mtama Kutoa Rambirambi kwa familia za
waliofariki dunia katika ajali iliyotokea mnamo August 8 2014 katika
kijiji hicho. Mungu azipumzishe roho za marehemu woote peponi
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi Bernald Membe pamoja na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasili katika kijiji cha Mtama Kutoa Rambirambi kwa familia za waliofariki dunia katika ajali iliyotokea mnamo August 8 2014 katika kijiji hicho. Mungu azipumzishe roho za marehemu woote peponi
Picha na taarifa zote kwa msaada wa
Clarence Chilumba Masasi TV
0 comments:
Post a Comment