Baadhi ya wananchi wakiangalia Gari aina semi trela iliyokabeba mafuta mala baada ya kupinduka
Vijana wakiendelea kujizolea mafuta aina ya Diesel
kama uonavyo pichani ndugu msomaji hali ilivyo
Watu wameendelea kuitana kwenda kuchukua mafuta kama uonavyo kijana kaiwa anampigia simu mwenzao
Vijana haogopi polisi na wamejiahami kwa lolote lile cha msingi wapate tu mafuta
wananchi wake kwa waume wakichota mafuta
Shughuli ikiendela ya uchotaki wa mafuta kabla ya askali polisi kuja
Polisi walivyokuja walianza kutawanya wananchi na kuwataka waache mala moja kuchota mafuta
Barabara yote imeenea mafuta kwa wingi na kusababisha foleni kubwa ya magari yanayotoka Mjini kwenda morogoro
kama unavyoona ndugu msomaji gari ya mafuta ikiwa imepinduka na kusababisha foleni kubwa sana kwa watumiaji wa barabara kuu ya morogoro
wakazi wengi wa kimara mwisho jijini dar wakishuhudia vijana wakijipatia mafuta
Kondakta wa gari iyo ikiwa hana la kusema ni kusikitika tu alipouliza na mwandishi wetu alijibu tu kwa kusema nalinda DOKOMENT alipotakiwa kwenda hospitali ya kimara kwa matibabu lakini alikataa japo kuwa ameumia sehemu ya mguu wake wa kushoto
Kama uonavyo konda amejihinamia kwani ajui aanzie wapi na amalizie wapi kutokana na tukio lilotokea akiwa ahamini macho yake kwa kile anachokiona
Askali polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi ikiwa ni njia moja wapo ya kutawanya wananchi waliokuwa wakichota mafuta barabarani hapo
hata ivyo zoezi ilo la kupiga mabomu ya machozi yamewaathili sana wananchi walio kwenye daradara na wakijua kabisa kuwa magari hayatembei kutokana na foleni iyo kwaiyo kuendela kuwatesa wananchi ao walio kwenye daradara izo
Wakazi waliokuwa wakichota mafuta hayo waliweza kusambalatika mala moja ila mateso yakabaki kwa wale abiria walioko kwenye daradara (magari ya kusafirisha abiria) waliokuwa wakielekea Mbezi, Morogoro na wengine waliokuwa kwenye magari binafsi
0 comments:
Post a Comment