Sunday, 6 July 2014

Awali kulikuwa na tahadhari ya kutokea mashambulizi Uganda
Askari wa usalama wa Uganda wanasema kuwa watu kadha wameuwawa katika shambulio lililofanywa na watu waliokuwa wamejihami, Magharibi mwa nchi.
Askari polisi kama watatu piya walikufa wakati vituo vya polisi na jeshi viliposhambuliwa.
Inasemekana kuwa askari wa Uganda wamewauwa washambuliaji zaidi ya 40.
Haijulikani nani anahusika na ghasia huko Bundibugyo katika wilaya ya Kasese, ambayo inapakana na Jamhuri ya Demokrasi ya Congo.
Baadhi ya ripoti zinasema ghasia hizo ni za kikabila, na nyengine zinasema zinafanywa na kundi la Waislamu.

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS