
Katika mkutano wa hadhara jijini Nairobi, muungano wa vyama wa CORD umetaka pia tume ya uchaguzi ya nchi hiyo kuvunjwa. Wito huo umetolewa kwenye mkutano wa hadhara uliokuwa ukiongozwa na waziri mkuu wa zamani Raila Odinga na kuhudhuriwa na maelfu ya wafuasi wake kwenye viwanja vya Uhuru.
Kenya ilipeleka majeshi yake nchini Somalia mwaka 2011 kupambana na al-Shabab, lakini tangu wakati huo kumekuwa na mashambulio mengi nchini Kenya.
CORD pia imetaka kuwepo na kura ya maoni kwa kile ilichotaja kuwa masuala muhimu.
ASKALI ANAANGALIA MKUTANO BAADA YA KUANGALIA PEMBENI KIULINZI ZAIDI
ulinzi umekamilika sabasaba leo
VIWANJA VYA UHURU PARK WANANCHI WAKIWA WANASHANGILIA KWA KUFANYA KUSIKILIZA MKUTANO UNAOFANYIKA LEO
0 comments:
Post a Comment