mama mzazi wa mtoto uyu ambae alikuwa nje na kumuacha mtoto wake uyu akiwa ndani ambae ndio kwanza hanaaza kusimama alitambaa kutoka kwenye kochi alipolazwa na kwenda maeneo ya meza ya chakula kisha kujaribu kusimama ndipo alipofanikiwa na kisha kuaanza kuchezea hot pot lilowekwa mezani apo na kuanza kulibuluza atimaye likafika pembezoni mwa meza ndipo lilipodondoka chini na kumgonga sehemu ya kicha kabla ya kufika chini na kusababisha majeraha ikiwa pamoja na kuungua na uji uo wa moto
kwa sasa anaendelea vizuri akipatiwa matibabu kwenye hospital moja mjini New Deih nchini India
0 comments:
Post a Comment