wakikimbizwa na askali ambao wengine walizalia kirahia
pita kulia nipite kushoto ndio mchezo unaofanywa na wafanya biashara
ndogo ndogo (machinga) askali akipita kule uku anaweka biashara yake anatangaza fasta
akiuza nguo mbili adi askali amshtukie anakuwa kashapata mia 2 fasta
kisha anaenda kujificha
hivyo ndivyo inavyoendelea kariakoo jijini dar karibu kila siku
0 comments:
Post a Comment