Muda huu; Mbeya CIty FC yaingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya
Binslum Tyres CO. Ltd.. Mkataba huo ni wa Miaka Miwili wenye Thamani ya
Tsh. 360.!! Mkataba umeanza Rasmi sasa., Kiasi hicho kitatolewa kila
Mwezi kulingana na Makubaliano waliojiwekea.! Anayezungumza hapo ni
Katibu wa Mbeya City FC; Emanuel Kimbe, na huo utakuwa muonekano Mpya wa
JEZI za Mbeya City FC Msimu ujao
sos MBEYA FM
0 comments:
Post a Comment