Tuesday, 3 June 2014




 
OMMY DIMPOZY alianza kwa kuwarushia mashabiki kofia ikafuata miwani akarusha na koti 
alilokavaa, alipoona aikutosha ndipo akaingiza mkoo mfukoni na kutoa wekundu wekundu


baadhi ya watu walijuliza jamaa amelipwa bei gani kwenye shoo hii na kupelekea kumwaga fedha nyingi ivi
baada ya kurusha fedha kwa mashabiki ndipo aliposema kuwa feza izi tunazipata kwa ajili yetu 
mashabiki bila nyie pesa izi atuzipati

wakimbizana kizidaka pesa

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS