mmoja wa wasanii chipkizi ambao walipata fulsa ya kwenda jukwaani kupiga shoo
ulinzi kama unavyo askali pembeni pale
wasanii chipkizi wakiandika majina teali kwa kwenda kuonyesha uwezo wao jukwaani
sehemu maalumu kwa ma DJ
baadhi ya wananchi wakiwa wamekaa kwenye takataka wako teali hata kwa kuziba pua kwa harufu mbaya






0 comments:
Post a Comment