wakazi wa kimara bonyokwa sasa ni furaha tu kama zamani kwani kulikuwa na usumbufu
mkubwa hasa kwa wale wenye usafili wa gari, pikipiki na kadhalika kwani
njia ilikuwa ni lazima wazunguke kupitia barabara ya muda
iliyokachongwa na STRABAG ya kuzunguka kwa maungucha kuelekea
UWANJA WA TANESCO ni mbele kidogo ya
stendi ya daradara kimara mwisho jijini Dar Es S alaam
0 comments:
Post a Comment