utegaji wa samaki katika mto lukuledi maharufu masolola
(MADEMA)
MAKAZI

BALOZI WA MTAA WA NG'ONGOLO
MH MAMBO
MKAZI WA KIJIJI CHA CHIWERERE

WAKAZI WA CHIWERERE

UGALI MBOGA MBAAZI
wakazi wa mkoa wa Lindi na vijiji vyake mboga yao kubwa ni mbaazi
jamii ya kunde
WAKAZI WA KIJIJI IKI CHA CHIWERERE KWA TAKRIBANI MIAKA KUMI
MBUNGE WAO AJAFIKA KIJIJINI HAPA
TOKA ALIPO KUJA AKIWA NDIO MALA YA KWANZA
ANAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MTAMA
MH BERNAD BEMBE
TOKEA APO AMEKUWA AKIISHIA KUJA KWENYE OFISI ZA KATA
PEKEE NA KUPELEKA WANANCHI WA HAPA
KUKOSA FULSA YA KUONGEA NA
MBUNGE WAO
0 comments:
Post a Comment