Saturday, 24 May 2014

 
UPANDE WA KUSHOTO LIKIWA NIMEBONDEKA

BAMPA LIKIWA LIMEVUNJIKA KABISA

UPANDE WA KULIA MLANGO WA NYUMA UKIWA UMEBINYWA

APA NDIO GARI ILIPOJIGUSA NA KUSABABISHA BAMPA KUNG'OKA NA KUVUNJIKA KABISA

gari iyo iliyokuwa ikiendeshwa na mwanamke 
alikuwa akitokea mjini jijini dar na kuelekea maeneo ya Kimara Temboni

mama uyo alishindwa kushuka kwenye gari kwani ni uzembe wake akiwa kwenye poleni
nyuma ya coasta ya kwenda mlandizi na pembeni kukiwa na Scania ya kokoto
mama uyu aliamini kuwa anaweza kupita kati kati ya magari ayo

alipoona anaweza ndipo alipo ingia kati kati kwa kasi ndipo alipoanza kuvunja bampa la nyuma
na akiwa anaelekea kuipita ile coasta ndio akajipiga kwenye ngao ya scania ya kokoto 

mama aliohitajika kulipa taa ya nyuma ya costa na saiti mirra ya mbele ya coasta 
aliishia kutokwa na machozi na moyo kumuenda mbio


0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS