Sunday, 18 October 2015

Askali ambae adi kufikia sasa atukufanikisha kupata jina lake kutokana na kupata ajali mbaya akiwa kwenye msafara nae akiwa kati ya askali aliyekuwa akiongoza msafara huo na kama iliyo kawaida kwa misafala ya viongozi wakubwa ni lazima itangulie piki piki kwa ajili ya kusafisha njia ni mala tu baada ya askali wengine kusimamisha vyombo vingine vya usafiri kwa lengo la kupisha msafala,
Msafara ukiwa tayari kwa kupita maeneo ya ubungo mataa ukiwa unatokea barabara ya sam Nujoma (mwenge) kuelekea uwanja wa Ndege (Air Port) ndipo kijana mmoja mwendesha boda boda ambae aliingia kwenye msafara uo na kufanya ajari kutokana na mwendo wa piki piki ya askali wa kuongoza msafara.

Kijana uyo ambae nae akufahamika jina mala moja ambae alikuwa na habiria binti wa kike ambae alikuwa akitokana nae barabara ya morogoro na kuelekea mandela road ndipo alipojaribu tu kuingia alipokutana na piki piki ya askali uyo wa kuongoza msafara
Kijana uyo amabe alikuwa akiendesha Piki piki aina ya boxer alisababisha ajali ambayo imepelekea msafala uo kusimama kwa dakika kadhaa kwenye eneo la ubungo mataa, mwendesha boda boda alijeruhiwa kidogo sana na sio kama inavyovumishwa na wengine kuwa alivunjika miguu na hata boda boda yake akiuumia kama ilivyoumia Piki piki ile ya askali Polisi kwani iling'oka baadhi ya vitu muhimu na kufanya isiendelee na msafara tena

Wananchi walijitokeza kwa wingi kutaka kushuhudia ajali iyo lakini askali waliwazuia kutokana na usalama wao chakwanza ilikuwa wanavuka barabara ovyo na wakati uo magari yakiwa yameruhusiwa na kuofia uwenda raia wangepata matatizo zaidi

Askali wa kuongoza msafara alimgonga mwendesha boda boda nyumba na kusababisha piki piki yake kupaa kidogo na kwenda chini kwa kasi ikiwa inamburuza yule askali

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS