![]() |
Sasha Obama akiwa na kijana anaedai kuwa ni binamu yake |
Ni ilikuwa kama kawaida kwa binti uyu kwenda kwenye shule maalumu ya kufundishwa matumizi ya Internet
kwa mala ya kwanza aliofungua akauti yake binafsi ya Instagram ndipo alipoweka picha ambayo ilizua maswali mengi sana
Baadhi ya wafualiaji walioji kunani hapa kwa wale vijana wakiume walianza kwa kuchombeza kuuliza ni shemeji au
Sasha alisema kuwa uyu ni binamu yangu tu na waliamua kupiga picha ya pamoja tu
Lakini kwa muda mfupi picha iyo iliondolewa kwenye akaunti iyo na akauti ikafutwa kabisa ndipo maswali yalipozidi kuwa k unani hapo Sasha
says it's her cousin in the photo with Sasha. The post has since been deleted and her account made private.
Is it in fact Sasha in the photo? We can't decide, let us know what you think:
Is it in fact Sasha in the photo? We can't decide, let us know what you think:
0 comments:
Post a Comment