Monday, 26 October 2015

Kingwendu mwenye suti nyeusi
Habari njema kwa wasanii wa maigizo nchini zaidi wale wanaofanya maigizo ya vichekesho

Kwa mala ya kwanza msanii wa vichekesho ndugu Rashidi maharufu Kingwendu alisema kuwa mwaka huu atagombea ubunge watu wengi walizani kuwa ni utani kutokana na jamii inavyomchukulia kuwa akiwa bungeni si itakuwa masihara tu, na kingine ivi ni kweli kuna mtu atampigia kura Kingwendu, sasa majibu ni kuwa aitakuwa ivyo kwani hata alipokuwa akiongea kwenye moja ya maojiano na redio hapa nchini alikuwa ni muongeaji mtulivu pia ni mtu mwenye kwenda kwenye pointi ya msingi na sio maneno mengi zaidi

Kingwendu amegombea jimbo la kisarawe na adi kufikia jioni ya jana tulipata matokeo ya kuwa anaongoza kwa kura nyingi dhidi ya Mpinzani wake

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS