Monday, 15 June 2015

Shule ya msingi Sura

Mh Joshua Nassar  Mbunge

Madawati yapatao 300

Mh Joshua Nassar akisalimia na wakazi wa Sura

Madawati yapatao 300 yakiwa tayari kwa makabidhiano

SHULE YA MSINGI SURA

Mbunge MH Joshua Nassari
Kati ya yale aliyoyaongea aliekeza shukrani zake kwa NMB ambao ndio wadhamini wakuu

Hatimaye tumekabidhi Rasmi madawati kwenye shule ya msingi Sura. Haya ni madawati ambayo Mbunge aliomba kwa ajili ya shule hii toka benki ya NMB kanda ya kaskazini.
Shukrani nyingi kwa NMB kwa kukubali Mara kadhaa Maandiko na Maombi yangu.
Tulishapeleka madawati shule za msingi Leguruki, Ushili mwaka 2013, kisha Makiba, samani za hospitali ya Nkoarisambu mwaka 2014 na sasa madawati shule ya Sura.
Wiki ijayo nitakabidhi madawati mengine 300 toka kwa mbunge ambayo yapo kwenye hatua za kupakwa polish.
Nilipata pia fursa ya kuona kazi ya Ujenzi wa choo cha kisasa iliyofanywa kwa kutumia Mifuko ya cement 150 niliyoitoa Kama msaada binafsi kwa shule hii na nyingine 2 mnamo mwezi januari.
Kama tulivyosema, Tulianza na Mungu, Tutamaliza na Mungu.

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS