Monday, 15 June 2015

Kwa mala ya kwanza kutokea mpinzani kubeba chuma chenye uzito wa kgm 1000.5
Ray Williams katikati aliyebeba chuma chenye uzito wa kilo 1000
Ray mwenyewe anauzito wa kilo zipatazo 425.5 na aliingia kwenye GYM ya IPF kwa ajili ya kufanya
mazoezi ya kubeba vitu vizito kama ilivyo kawaida

Lakini baadhi yao walianza kushikwa na butwaa baada ya Ray kuinua chuma chenye uzito wa kilo zipatazo
2206 kufanya nazo mazoezi kama vile ya kujenga kifua, mabega

Baada ya kumaliza hatua iyo ilifika wakati wa kufanya zoezi la skwat lakini cha ajabu pia aliomba apewe
chuma chenye uzito mkubwa ambapo kilipatikana chenye uzito wa kilo 1000.5

Baada ya hapo zoezi la kwenda chini na kurudi juu lilianza Ray aliweza kufanya zoezi ilo
mala 938 bila kupumzika na kufanya aweke rekodi yake ya kipekee dunia mzima kwa sasa

mmiliki wa GYM maarufu nchini Marekani FLex Magazine amemsifu sana Ray

Ray Williams Squats 938 Pounds to Set New World Record

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS