John Cena vs. Rusev – Russian Chain Match for the United States Championship:
Leo tunawaletea mchezo wa mieleka ambao ni mchezo kati ya michezo inayopenda sana barani Ulaya hasa Nchini Marekani baada ya kuanza na mchezo wa mpira wa kikapu (basketball) kisha mchezo wa Boxer atimae mielekea imekuwa na nafasi hiiMpambano ulikuwa ni wakiushindani sana kwani wote uzito wao uko juu sana
John Cena vs. Rusev
John Cena vs. Rusev
John Cena vs. Rusev
John Cena vs. Rusev
John Cena vs. Rusev
John Cena vs. Rusev
John Cena vs. Rusev
John Cena vs. Rusev
Hapa pambano lilikuwa kama linamuelemea John CenaJohn Cena vs. Rusev
Muda wote huu Rusev alikuwa akilitawala pambanoJohn Cena vs. Rusev
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mieleka basi utajua John Cena huwa anatumia mbinu zipi za kiushindiJohn Cena vs. Rusev
John cena ni mpambanaji ambae anajua atumie mbinu gani na kwa wakati gani ili ashinde
Apo ni vuta nikuvute hili ajulikane nani mshindi
Mwisho wa Pambano John cena aliibuka mshindi na atimae kujichukulia mkanda wake aliokuwa akiutete ikumbukwe kuwa John cena aliwai kuongoza kukaa na mkanda wa ubingwa wa juu kabisa wa WWE kwa kipindi kirefu kuliko mwanamieleka yoyote aliyoko kwenye kipindi hiki cha upinzani na John Cena
0 comments:
Post a Comment