Mshukiwa wa Shambulio la Garissa University College
Mohamed Konu
Kutokana na shambulio liliofanyika kwenye majengo ya Garissa University College na kupeleka kufanyika mauwaji ya baadhi ya wanafunzi baada ya kuidhibiti Hostel ya Wanawake na kuua ovyo
teali jeshi ilo la Kenya limembaini kiongozi mkuu wa Shambulio ilo
Kwa sasa teali dau kubwa la feza za kenya thamani ya sh milioni 20 za kenya zimetangazwa ikiwa kama ni zawadi kwa yeyeto atakae toa taarifa ya kumuona Mohamed Konu popote pale alipo
na kuwataka wananchi kukaa nae mbali uyu mtu
0 comments:
Post a Comment