Sunday, 8 March 2015

Unapotaka kuwataja wana hip hop hapa bongo wa kike usipo mtaji Msanii Witnesz basi wewe aufuatilii mziki wa hapa kwetu Tanzania

Rapa uyu mwenye uwezo mkubwa wa kurap au kufoka kwenye kipaza sauti
ameonyesha kuwa hata kuimba pia haweza ndio maana kwenye ngoma yake hii ya Chunga mdomo wako amechanga ladha tofauti angalia video ujue nachomahanisha na utakubaliana na mimi

usisahau ku LIKE page yetu pia facebook http://millanzy.blogspot.com/



0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS