Ericson Musa amepoteza ndugu zake wa familia moja jumla 37
Wafanya kazi wa Hospitali ya Serikali 38 wakufa kutokana na Ebola
Ericson na Jo ni wachace pekee walio baki kwenye familia yao kwani imekuwa kama bahati vile wao kuruhusiwa Hospitali na kuwa wakiishi barabarani adi pale walipopata mikopo ya chumba cha kulala
kwa asilimia 50 ya wakazi wameoneka kuwa na matarajio mazuri na baada ya kupata mafunzo ya jinsi ya kupambana na ugonjwa wa Ebola
Thuray's family possessions were destroyed by contamination officials after he and his relatives got sick and taken to hospital.
Ebola survivor Ericson was discharged from hospital with no money. He
lost his entire family to the disease. After his release, he slept in a
truck park until a friend lent him a room.
Askali walio pelekwa kwenye makazi ya ya wananchi mbali mbali wameambukizwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola na kuhitajika kuwekwa kwenye sehemu maalumu ya uangalizi kwa siku 21. Imebidi kusitishwa kusonga mbele kwa askali wetu kutokana na kuambukizwa
0 comments:
Post a Comment