Thursday, 3 July 2014

Rais mpya wa klabu ya Simba Evans Aveva ametangaza kuwasimamisha uanachama, wanachama wake 69 waliokwenda mahakamani kuzuia uchaguzi mkuu wa klabu hiyo usifanyike.
Aveva ametangaza maamuzi hayo leo katika makao makuu ya klabu hiyo na amesema kuwa wanachama hao walikiuka katiba ya klabu hiyo pia uamuzi huo unafuatia kikao cha kamati ya utendaji ya Simba kilichofanyika kujadili suala hilo.




0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS