Aliyekuwa kiungo wa timu ya Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' ameachana na timu hiyo na kujiunga na Azam FC.
Athumani Iddi 'Chuji' leo asubuhi ameungana mazoezini na hiyo klabu
bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi,
Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment