WANAWAKE WA KABILA HILI NI KAMA KABILA MOJA LILILOPO NAMIBIA NA BOTSWANA
MAKABILA MENGI AFRIKA TUNAFANA KITABIA KWA KILA KITU TOFAUTI NI JE UTANDAWAZI KWA BAADHI YA NCHI ZINAPOKELEWA KWA KIASI GANI
MKAZI AKIONYESHA UREMBO WAO KWENYE MDOMO WA KUWEKA NYOYA LA KUKU
HAPA UTUMIA KUIFADHI CHAKULA CHAO
WAKAZI WA KABILA ILI LA DASSANECH MTOTO AKIWA MKUBWA UNAFUNDISHWA KUFANYA SHUGHULI ZA MIKONO NA SIO KWENDA SHULE KAMA TULIVYOZOEA
SEHEMU KUBWA YA WAKAZI HAWA WAPO SEHEMU YA JANGWANI KWAIYO MAHITAJI YAO UTEGEMEA SHUGHULI ZA MAJINI
MKAZI AKIWA KWENYE KAYA YAKE
KABILA HILI BADO WANATUMIA MAGOME YA MITI KUEZEKA NYUMBA ZAO KAMA UONAVYO PICHANI
KABILA HILI PIA WANATUMIA MAWE KUAGA MAZAO YAO NA KUPATA CHAKURA
KAMA UONAVYO KATI YA TAMADUNI ZAO NI KUWEKA NYOYA LA KUKU CHINI YA MDOMO WAO
0 comments:
Post a Comment