Saturday, 19 July 2014

kwa mantiki hii hawa vijana kwa umri walio nao je ni haki yao kweli na uzoefu wa kupambana kwa kipindi iki cha machafuko Sudani vijana hawa wanahimili kwa kiasi gani kwani dhaili kabisa kuwa mafunzo awapati yale yanayohitajika zaidi ni kufundishwa kufyatua rissi tu

Nazani Sudani kaskazini inavikosi vya majeshi ya watu wakakamavu kwani hata kwenye mazungumzo ya na UN aonekani kijana goi goi wengi wao na wenye afya zao kama sifa ya mwananjeshi inavyosema

0 comments:

Post a Comment

Translate

facebook

TANGAZA HAPA

KWA HABARI MAKINI

Napokea maoni muhimu kwa pale unapoona apakustahili kuwepo kwenye blogg yetu makini yenye lengo la kukuunganisha pamoja na kuelimishana kwa yale mazuri yote piga simu kwa chochote muhimu namba zipo apo juu

NEWS