Tar. 01.07.1962 Rwanda ilipata uhuru wake wa kisiasa. Wakati huu
zaidi ya Watutsi 350,000 wameshakuwa wakikimbilia nchi jirani. Mwaka
uliofuata vikundi vya Watutsi kutoka nchi hizi za jirani walijaribu
kushambulia utaratibu mpya. Iliyofuata ilikuwa uangamizaji wa kwanza wa
Watutsi; zaidi ya 100,000 waliuawa na Wahutu. Hata katika miaka
iliyofuata mauaji dhidi ya Watutsi iliendelea. Wanasiasa Wahutu walizoea
kuita Watusi ndio "Wadudu". Kila kitu kilichokuwa si sawa kilielezwa ni
kosa la Watutsi waliokuwa raia bila haki. Idadi kubwa ya Watutsi
walikimbia Burundi, Uganda na Tanzania.
Mwaka 1973 Generali Habariyama alimpindua rais Kayibanda na kuanzisha serikali ya kijeshi akijaribu kupatanisha vikundi ndani ya taifa. Lakini hata mwaka uliofuata 1974 mauaji ya Watutsi yalitokea tena.
Mnamo 1990 ilikuwa wazi ya kwamba Rwanda ilikuwa na hali ngumu. Kwa upande moja nchi za nje zilisukuma serikali za Afrika kuruhusu kura huru za kisiasa; katika Rwanda ongezeko la wakazi lilileta msongamano mkubwa na uhaba wa ardhi ya kilimo. Uchumi ilikuwa duni. Wakati huohuo wapinzani Wahutu walikusanyika nje ya nchi ny kudai demokrasia. Na kati ya watoto wa Watutsi waliokuwa walitoka nchini sauti zikasikika zilizodai warudi tena.
Habyarimana alijaribu kutafuta suluhisho akanza kujadiliana na Watutsi wa nje lakini alikuta pia upinzani kwa upande wa Wahutu wakali waliochukia uelewano wa Watutsi.
zaidi ni kwamba shughuli za Kiserikali ndizo zilizokasimamishwa tu kwa siku

wananchi wengi sana awakushangazwa na kutofanyika kwa sherehe izo na kusema kuwa kwani
adi leo bado tunaishi kwa kutegemea misaada yao kwaiyo aina maana yoyote ya kusema tuna uhuru
mmoja wa wananchi akiongea
Rwanda imetimiza miaka 52 ya Uhuru lakini cha ajabu aikufanya sherehe kama watu wengi walivyotarajiazaidi ni kwamba shughuli za Kiserikali ndizo zilizokasimamishwa tu kwa siku
0 comments:
Post a Comment