apa ni sehemu ya njia ya wakazi wa Nanganga wanapopita na kuelekea Chuu kwenye mashamba yao
mamba uyu amakuwa akijitokeza mala kwa mala na kuwapa hofu wakazi wake
mkazi wa Nanganga ambaye ulima mashamba yake ya mpunga ,Mahindi, Mtama, Mihogo na Bustani ndogo ndogo hasa kwa kipindi hiki cha kiangazi
akizungumza kwa uchungu : Wakazi wa Nanganga hii ya kanisani au wengi upenda kuita Nanganga ya Masasi tunateseka sana kwani asilimia kubwa mahitaji yetu yote tunayapata sehemu moja inaitwa Ng'ongoro au Chuu ndiko mashamba yetu yapo tatizo ni kwamba pale mto Lukuledi kuna mamba amekuwa
akitishia sana uhai wa watu mala kwa mala anaonekana pale na ukizingatia ndio njia kuu ya sisi kwenda mashambani kwetu, kipindi cha kifuku uwa tunahamia shambani sababu ya kujaa maji pia mamba uzidi kuzagaa lakini kwa sasa maji yamepungua kabisa lakini imekuwa tatizo sana kwa sasa,
alizungumzia pia swala la magemu ambao mala kadhaa uwa wanakuja kuwasaidia panapokuwa na tishio la wadudu kama ivyo, akatolea mfano kuwa kuna kipindi Kiboko alikuwa anatishia sana watu ikawa mashambani atuendi aidha kama tukienda inabidi tuwe wengi sana kuwe na makelele apo tunaweza kwenda na kurudi salama ila kwa sasa tunateseka sana,
NJIA IYO INAITWA KWA MOROKO PANATISHA SANA ILA ATUNA JINSI
haya maji anasema yamepungua ila ni lazima uvue nguo wakati unavuka akuna kivuko chochote labda kama tulivyozoea kwa maeneo mengine kama ngalawa au bodi hapa ni kuingia mzima mzima
uwongozi wa kijiji unathibitisha tatizo hili
0 comments:
Post a Comment