Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Mkutano wa Kamati ya Viongozi wa
Afrika Kuhusu Tabia Nchi ulioitishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Mhe Ban Ki-moon pembeni mwa mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika mjini
Malabo, Equatorial Guinea leo Juni 27, 2014. (picha, maelezo: IKULU)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon kwenye mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika mjini Malabo, Equatorial Guinea leo Juni 27, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon kwenye mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika mjini Malabo, Equatorial Guinea leo Juni 27, 2014
0 comments:
Post a Comment