Rais Barack Obama wa Marekani ameonyesha kuwa ni kwa jinsigani michuano
ya kombe la Dunia ni muhimu, kwa kuangalia mechi ya taifa lake na
Ujerumani akiwa angani
kwenye Ndege yake ya Air Force One.
kwenye Ndege yake ya Air Force One.
Rais Obama alikuwa akitokea Mji wa Maryland kwenda Minnesota wakati
Marekani ilipokuwa inacheza mchezo huo muhimu na Ujerumani na kujikuta
ikifungwa bao 1-0 huku Thomas Muller akipachika bao lililoizamisha
Marekani huku Obama akishuhudia kwenye ndege ya Air Force One.
#mbeyafm#
#mbeyafm#
0 comments:
Post a Comment